Makamu wa Rais Mhe. Hemed amewaongoza waumini katika maziko ya Kamishna Makame Juma Pandu.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewaongoza waumini na wananchi katika maziko ya aliekuwa Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Makame Juma Pandu. Mhe. Hemed amejumuika na wanafamilia pamoja na watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuustiri mwili wa marehemu Kamshna Makame Juma Pandu katika makaburi ya Mwanakwerekwe